Quran with Swahili translation - Surah Al-Anfal ayat 55 - الأنفَال - Page - Juz 10
﴿إِنَّ شَرَّ ٱلدَّوَآبِّ عِندَ ٱللَّهِ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ فَهُمۡ لَا يُؤۡمِنُونَ ﴾
[الأنفَال: 55]
﴿إن شر الدواب عند الله الذين كفروا فهم لا يؤمنون﴾ [الأنفَال: 55]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika wabaya mno wa wale wanaotembea juu ya ardhi mbele ya Mwenyezi Mungu ni Makafiri wanaoendeleza ukafiri; wao hawawaamini Mitume wa Mwenyezi Mungu, hawaukubali upweke Wake wala hawazifuati sheria Zake |