Quran with Swahili translation - Surah ‘Abasa ayat 22 - عَبَسَ - Page - Juz 30
﴿ثُمَّ إِذَا شَآءَ أَنشَرَهُۥ ﴾
[عَبَسَ: 22]
﴿ثم إذا شاء أنشره﴾ [عَبَسَ: 22]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kisha Akitaka Mwenyezi Mungu, Aliyetakasika na sifa mbaya, Atamhuisha na kumfufua baada ya kifo chake, kwa ajili ya kuhesabiwa na kulipwa |