Quran with Swahili translation - Surah ‘Abasa ayat 23 - عَبَسَ - Page - Juz 30
﴿كـَلَّا لَمَّا يَقۡضِ مَآ أَمَرَهُۥ ﴾
[عَبَسَ: 23]
﴿كلا لما يقض ما أمره﴾ [عَبَسَ: 23]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mambo siyo kama yale anayoyasema kafiri na anayoyafanya. Bado hajatakeleza Aliyomuamrisha kwayo Mwenyezi Mungu katika kuamini na kutenda wema kwa kumtii |