Quran with Swahili translation - Surah ‘Abasa ayat 42 - عَبَسَ - Page - Juz 30
﴿أُوْلَٰٓئِكَ هُمُ ٱلۡكَفَرَةُ ٱلۡفَجَرَةُ ﴾
[عَبَسَ: 42]
﴿أولئك هم الكفرة الفجرة﴾ [عَبَسَ: 42]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hao wenye kusifika na sifa hiyo ndiwo wale waliozikufuru neema za Mwenyezi Mungu na wakazikanusha aya zake na wakayakeuka Aliyoyaharamisha kwa kutenda maovu na kukiuka mipaka |