Quran with Swahili translation - Surah Al-Inshiqaq ayat 13 - الانشِقَاق - Page - Juz 30
﴿إِنَّهُۥ كَانَ فِيٓ أَهۡلِهِۦ مَسۡرُورًا ﴾
[الانشِقَاق: 13]
﴿إنه كان في أهله مسرورا﴾ [الانشِقَاق: 13]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika yeye alikuwa kwa watu wake ulimwenguni ni mwenye furaha na majivuno, hafikirii mwisho wake utakuwa namna gani |