Quran with Swahili translation - Surah Al-Buruj ayat 3 - البُرُوج - Page - Juz 30
﴿وَشَاهِدٖ وَمَشۡهُودٖ ﴾
[البُرُوج: 3]
﴿وشاهد ومشهود﴾ [البُرُوج: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwa shahidi, mwenye kutoa ushahidi, na mwenye kutolewa ushahidi juu yake. Mwenyezi Mungu Huapa kwa Anachokitaka. Lakini kiumbe hafai kuapa kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu. Kuapa kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu ni ushirikina |