Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shams ayat 7 - الشَّمس - Page - Juz 30
﴿وَنَفۡسٖ وَمَا سَوَّىٰهَا ﴾
[الشَّمس: 7]
﴿ونفس وما سواها﴾ [الشَّمس: 7]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwa kila nafsi na namna Mwenyezi Mungu alivyoikamilisha umbo lake ili itekeleze kazi iliyoumbiwa nayo |