×

Ndio kama hivyo kauli ya Mola wako Mlezi itakavyo wathibitikia wale walio 10:33 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Yunus ⮕ (10:33) ayat 33 in Swahili

10:33 Surah Yunus ayat 33 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Yunus ayat 33 - يُونس - Page - Juz 11

﴿كَذَٰلِكَ حَقَّتۡ كَلِمَتُ رَبِّكَ عَلَى ٱلَّذِينَ فَسَقُوٓاْ أَنَّهُمۡ لَا يُؤۡمِنُونَ ﴾
[يُونس: 33]

Ndio kama hivyo kauli ya Mola wako Mlezi itakavyo wathibitikia wale walio potoka, ya kwamba hawatoamini

❮ Previous Next ❯

ترجمة: كذلك حقت كلمت ربك على الذين فسقوا أنهم لا يؤمنون, باللغة السواحيلية

﴿كذلك حقت كلمت ربك على الذين فسقوا أنهم لا يؤمنون﴾ [يُونس: 33]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Kama walivyokanusha washirikina hawa na walivyoendelea kwenye ushirikina wao, ndivyo lilivothibiti neno la Mola wako, hukumu Yake na uamuzi Wake juu ya wale waliotoka nje ya utiifu Wake wakaenda kumuasi na wakamkanusha, kwamba wao hawataamini upweke wa Mwenyezi Mungu wala unabii wa Nabii Wake Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amawni zimshukiye, wala hawatafanya matendo yanayolingana na uongofu Wake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek