×

Jueni kuwa hakika vyote viliomo katika mbingu na katika ardhi ni vya 10:55 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Yunus ⮕ (10:55) ayat 55 in Swahili

10:55 Surah Yunus ayat 55 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Yunus ayat 55 - يُونس - Page - Juz 11

﴿أَلَآ إِنَّ لِلَّهِ مَا فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِۗ أَلَآ إِنَّ وَعۡدَ ٱللَّهِ حَقّٞ وَلَٰكِنَّ أَكۡثَرَهُمۡ لَا يَعۡلَمُونَ ﴾
[يُونس: 55]

Jueni kuwa hakika vyote viliomo katika mbingu na katika ardhi ni vya Mwenyezi Mungu. Jueni kuwa hakika ahadi ya Mwenyezi Mungu ni ya haki. Lakini wengi wao hawajui

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ألا إن لله ما في السموات والأرض ألا إن وعد الله حق, باللغة السواحيلية

﴿ألا إن لله ما في السموات والأرض ألا إن وعد الله حق﴾ [يُونس: 55]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Jua utanabahi kwamba kila kilichoko mbinguni na ardhini ni milki ya Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, hakuna kitu chochote kati ya hivyo ni cha yoyote isipokuwa Yeye. Jua utanabahi kwamba kukutana na Mwenyezi Mungu kuko na adhabu Yake kwa washirikina ni yenye kuwa, lakini wengi wao hawaujui uhakika wa hilo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek