Quran with Swahili translation - Surah Yunus ayat 56 - يُونس - Page - Juz 11
﴿هُوَ يُحۡيِۦ وَيُمِيتُ وَإِلَيۡهِ تُرۡجَعُونَ ﴾
[يُونس: 56]
﴿هو يحيي ويميت وإليه ترجعون﴾ [يُونس: 56]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika Mwenyezi Mungu Ndiye Mwenye kuhuisha na Mwenye kufisha, Hashindwi kuwahuisha watu baada ya kufa kwao, kama ambavyo hakumshindi Yeye kuwafisha Atakapo hilo. Na wao ni wenye kurejea Kwake baada ya kufa kwao |