Quran with Swahili translation - Surah Yunus ayat 62 - يُونس - Page - Juz 11
﴿أَلَآ إِنَّ أَوۡلِيَآءَ ٱللَّهِ لَا خَوۡفٌ عَلَيۡهِمۡ وَلَا هُمۡ يَحۡزَنُونَ ﴾
[يُونس: 62]
﴿ألا إن أولياء الله لا خوف عليهم ولا هم يحزنون﴾ [يُونس: 62]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Jueni mtanabahi kwamba mawalii wa Mwenyezi Mungu hawatakuwa na kicho cha mateso ya Mwenyezi Mungu Akhera, wala wao hawatasikitika juu ya hadhi za kilimwengu walizozikosa |