Quran with Swahili translation - Surah Yunus ayat 86 - يُونس - Page - Juz 11
﴿وَنَجِّنَا بِرَحۡمَتِكَ مِنَ ٱلۡقَوۡمِ ٱلۡكَٰفِرِينَ ﴾
[يُونس: 86]
﴿ونجنا برحمتك من القوم الكافرين﴾ [يُونس: 86]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Na utuokoe, kwa rehema yako, kutokana na watu makafiri, Fir'awn na kundi lake.» Kwani wao walikuwa wakiwalazimisha kufanya kazi ngumu |