Quran with Swahili translation - Surah Yunus ayat 91 - يُونس - Page - Juz 11
﴿ءَآلۡـَٰٔنَ وَقَدۡ عَصَيۡتَ قَبۡلُ وَكُنتَ مِنَ ٱلۡمُفۡسِدِينَ ﴾
[يُونس: 91]
﴿آلآن وقد عصيت قبل وكنت من المفسدين﴾ [يُونس: 91]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je, sasa hivi, ewe Fir'awn, wakati kifo kimekushukia ndipo, unakubali kuwa wewe ni mja wa Mwenyezi Mungu na hali ulimuasi na ukawa ni miongoni mwa waharibifu wenye kuzuia njia Yake kabla ya adhabu Yake kukushukia! Basi toba haitokunufaisha wakati wa kukata roho na kushuhudia kifo na adhabu |