Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 115 - هُود - Page - Juz 12
﴿وَٱصۡبِرۡ فَإِنَّ ٱللَّهَ لَا يُضِيعُ أَجۡرَ ٱلۡمُحۡسِنِينَ ﴾
[هُود: 115]
﴿واصبر فإن الله لا يضيع أجر المحسنين﴾ [هُود: 115]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na usubiri, ew Nabii, juu ya hiyo Swala na juu ya makero unayoyakuta kutoka kwa washirina wa watu wako, kwani Mwenyezi Mungu Hapotezi malipo ya walio wema katika matendo yao |