×

Na wasipo kuitikieni, basi jueni ya kwamba (hii Qur'ani) imeteremshwa kwa ujuzi 11:14 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Hud ⮕ (11:14) ayat 14 in Swahili

11:14 Surah Hud ayat 14 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 14 - هُود - Page - Juz 12

﴿فَإِلَّمۡ يَسۡتَجِيبُواْ لَكُمۡ فَٱعۡلَمُوٓاْ أَنَّمَآ أُنزِلَ بِعِلۡمِ ٱللَّهِ وَأَن لَّآ إِلَٰهَ إِلَّا هُوَۖ فَهَلۡ أَنتُم مُّسۡلِمُونَ ﴾
[هُود: 14]

Na wasipo kuitikieni, basi jueni ya kwamba (hii Qur'ani) imeteremshwa kwa ujuzi wa Mwenyezi Mungu, na kwamba hapana mungu ila Yeye. Basi je! Nyinyi ni Waislamu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فإلم يستجيبوا لكم فاعلموا أنما أنـزل بعلم الله وأن لا إله إلا, باللغة السواحيلية

﴿فإلم يستجيبوا لكم فاعلموا أنما أنـزل بعلم الله وأن لا إله إلا﴾ [هُود: 14]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Iwapo washirikina hawa hawatawaitikia nyinyi, ewe Mtume na walio pamoja na wewe, kwa yale mnayowaitia , kwa kulemewa kufanya hivyo, basi jueni kwamba hii Qur’ani, kwa hakika Mwenyezi Mungu Amemteremshia Mtume Wake kwa ujuzi Wake, na si maneno ya binadamu. Na jueni kwamba hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu. Je nyinyi, baada ya kusimama hoja hii kwenu, ni wenye kujisalimisha, ni wenye kunyosha shingo kwa Mwenyezi Mungu na Mtume Wake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek