×

Na akafunuliwa Nuhu akaambiwa: Hataamini yeyote katika watu wako ila wale walio 11:36 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Hud ⮕ (11:36) ayat 36 in Swahili

11:36 Surah Hud ayat 36 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 36 - هُود - Page - Juz 12

﴿وَأُوحِيَ إِلَىٰ نُوحٍ أَنَّهُۥ لَن يُؤۡمِنَ مِن قَوۡمِكَ إِلَّا مَن قَدۡ ءَامَنَ فَلَا تَبۡتَئِسۡ بِمَا كَانُواْ يَفۡعَلُونَ ﴾
[هُود: 36]

Na akafunuliwa Nuhu akaambiwa: Hataamini yeyote katika watu wako ila wale walio kwisha amini. Basi usisikitike kwa waliyo kuwa wakiyatenda

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وأوحي إلى نوح أنه لن يؤمن من قومك إلا من قد آمن, باللغة السواحيلية

﴿وأوحي إلى نوح أنه لن يؤمن من قومك إلا من قد آمن﴾ [هُود: 36]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na Mwenyezi Mungu, Aliyetakata na sifa za upungufu na kutukuka, Alimletea wahyi Nūḥ„ amani imshukiye, ilipolazimika adhabu juu ya watu wake kwamba hawatamuamini Mwenyezi Mungu isipokuwa walioamini kabla ya hapo, «basi usisikitike, ewe Nūḥ„ juu ya yale waliokuwa wakiyafanaya
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek