×

Ikawa inakwenda nao katika mawimbi kama milima. Na Nuhu akamwita mwanawe naye 11:42 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Hud ⮕ (11:42) ayat 42 in Swahili

11:42 Surah Hud ayat 42 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 42 - هُود - Page - Juz 12

﴿وَهِيَ تَجۡرِي بِهِمۡ فِي مَوۡجٖ كَٱلۡجِبَالِ وَنَادَىٰ نُوحٌ ٱبۡنَهُۥ وَكَانَ فِي مَعۡزِلٖ يَٰبُنَيَّ ٱرۡكَب مَّعَنَا وَلَا تَكُن مَّعَ ٱلۡكَٰفِرِينَ ﴾
[هُود: 42]

Ikawa inakwenda nao katika mawimbi kama milima. Na Nuhu akamwita mwanawe naye alikuwa mbali: Ewe mwanangu! Panda pamoja nasi, wala usiwe pamoja na makafiri

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وهي تجري بهم في موج كالجبال ونادى نوح ابنه وكان في معزل, باللغة السواحيلية

﴿وهي تجري بهم في موج كالجبال ونادى نوح ابنه وكان في معزل﴾ [هُود: 42]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Nayo ikawa inatembea na wao kwenye mawimbi yanayopaa na kwenda juu mpaka yakawa kama majabali kwa urefu wake wa kwenda juu. Hapo Nūḥ alimwita mtoto wakewa kiume, na ambaye alikuwa yupo mahali kando na amejiepusha na Waumini, akamwambia, «Ewe mwanangu, panda na sisi kwenye jahazi na usiwe pamoja na wenye kumkanusha Mwenyezi Mungu, utakujazama.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek