×

Ilipo fika amri yetu, tulimwokoa Hud na walio amini pamoja naye, kwa 11:58 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Hud ⮕ (11:58) ayat 58 in Swahili

11:58 Surah Hud ayat 58 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 58 - هُود - Page - Juz 12

﴿وَلَمَّا جَآءَ أَمۡرُنَا نَجَّيۡنَا هُودٗا وَٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ مَعَهُۥ بِرَحۡمَةٖ مِّنَّا وَنَجَّيۡنَٰهُم مِّنۡ عَذَابٍ غَلِيظٖ ﴾
[هُود: 58]

Ilipo fika amri yetu, tulimwokoa Hud na walio amini pamoja naye, kwa rehema itokayo kwetu. Na tukawaokoa na adhabu ngumu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ولما جاء أمرنا نجينا هودا والذين آمنوا معه برحمة منا ونجيناهم من, باللغة السواحيلية

﴿ولما جاء أمرنا نجينا هودا والذين آمنوا معه برحمة منا ونجيناهم من﴾ [هُود: 58]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na ilipokuja amri yetu kuwaadhibu watu wa Hūd, tulimuokoa Hūd na Waumini miongoni mwao kwa wema wetu juu yao na huruma, na tukawaokoa wao na adhabu kali Aliyoishukisha Mwenyezi Mungu kwa hao 'Ād, wakapambaukiwa na huku hakuna kionekanacho isipokuwa makazi yao
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek