×

Wakamchinja. Basi (Saleh) akasema: Stareheni katika mji wenu muda wa siku tatu. 11:65 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Hud ⮕ (11:65) ayat 65 in Swahili

11:65 Surah Hud ayat 65 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 65 - هُود - Page - Juz 12

﴿فَعَقَرُوهَا فَقَالَ تَمَتَّعُواْ فِي دَارِكُمۡ ثَلَٰثَةَ أَيَّامٖۖ ذَٰلِكَ وَعۡدٌ غَيۡرُ مَكۡذُوبٖ ﴾
[هُود: 65]

Wakamchinja. Basi (Saleh) akasema: Stareheni katika mji wenu muda wa siku tatu. Hiyo ni ahadi isiyo kuwa ya uwongo

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فعقروها فقال تمتعوا في داركم ثلاثة أيام ذلك وعد غير مكذوب, باللغة السواحيلية

﴿فعقروها فقال تمتعوا في داركم ثلاثة أيام ذلك وعد غير مكذوب﴾ [هُود: 65]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Wakamkanusha na wakamchinja ngamia, hapo Ṣāliḥ akawaambia, «Stareheni na maisha yenu katika mji wenu kwa muda wa siku tatu, kwani adhabu ni yenye kuwashukia baada yake, na hiyo ni ahadi kutoka kwa Mwenyezi Mungu isiyokanushika, haina budi kutukia.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek