Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 14 - يُوسُف - Page - Juz 12
﴿قَالُواْ لَئِنۡ أَكَلَهُ ٱلذِّئۡبُ وَنَحۡنُ عُصۡبَةٌ إِنَّآ إِذٗا لَّخَٰسِرُونَ ﴾
[يُوسُف: 14]
﴿قالوا لئن أكله الذئب ونحن عصبة إنا إذا لخاسرون﴾ [يُوسُف: 14]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wakasema ndugu zake Yūsuf kumwambia baba yao, «Ikiwa mbwamwitu atamla na hali sisi ni kikundi chenye nguvu, sisi wakati huo tutakuwa ni wenye kupata hasara, hatuna wema wowote, na hakuna manufaa yoyote yanayotarajiwa kutoka kwetu.» |