×

Mola wangu Mlezi! Nijaalie niwe mwenye kushika Sala, na katika dhuriya zangu 14:40 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ibrahim ⮕ (14:40) ayat 40 in Swahili

14:40 Surah Ibrahim ayat 40 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ibrahim ayat 40 - إبراهِيم - Page - Juz 13

﴿رَبِّ ٱجۡعَلۡنِي مُقِيمَ ٱلصَّلَوٰةِ وَمِن ذُرِّيَّتِيۚ رَبَّنَا وَتَقَبَّلۡ دُعَآءِ ﴾
[إبراهِيم: 40]

Mola wangu Mlezi! Nijaalie niwe mwenye kushika Sala, na katika dhuriya zangu pia. Ewe Mola wetu Mlezi, na ipokee dua yangu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: رب اجعلني مقيم الصلاة ومن ذريتي ربنا وتقبل دعاء, باللغة السواحيلية

﴿رب اجعلني مقيم الصلاة ومن ذريتي ربنا وتقبل دعاء﴾ [إبراهِيم: 40]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
«Ewe Mola wangi! Nijaalie ni mwenye kuendelea kutekeleza Swala kwa njia ya ukamilifu zaidi na ujaalie katika kizazi changu wenye kuendelea nayo. Ewe Mola wetu! Na uyakubali maombi yangu na uikubali ibada yangu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek