Quran with Swahili translation - Surah Ibrahim ayat 39 - إبراهِيم - Page - Juz 13
﴿ٱلۡحَمۡدُ لِلَّهِ ٱلَّذِي وَهَبَ لِي عَلَى ٱلۡكِبَرِ إِسۡمَٰعِيلَ وَإِسۡحَٰقَۚ إِنَّ رَبِّي لَسَمِيعُ ٱلدُّعَآءِ ﴾
[إبراهِيم: 39]
﴿الحمد لله الذي وهب لي على الكبر إسماعيل وإسحاق إن ربي لسميع﴾ [إبراهِيم: 39]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ibrāhīm anamsifu Mola wake na anasema, «Shukrani zote ni za Mwenyezi Mungu Aliyeniruzuku, pamoja na uzee wangu, wanangu wawili, Ismā'īl na Isḥāq, baada ya maombi yangu Anitunuku miongoni mwa wema, kwani Mola wangu ni mwenye kusikia maombi ya mwenye kumuomba; na mimemuomba na Hakuyapitisha patupu matarajio yangu |