×

Mola wetu! Unighufirie mimi na wazazi wangu wote wawili, na Waumini, siku 14:41 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ibrahim ⮕ (14:41) ayat 41 in Swahili

14:41 Surah Ibrahim ayat 41 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ibrahim ayat 41 - إبراهِيم - Page - Juz 13

﴿رَبَّنَا ٱغۡفِرۡ لِي وَلِوَٰلِدَيَّ وَلِلۡمُؤۡمِنِينَ يَوۡمَ يَقُومُ ٱلۡحِسَابُ ﴾
[إبراهِيم: 41]

Mola wetu! Unighufirie mimi na wazazi wangu wote wawili, na Waumini, siku ya kusimama hisabu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ربنا اغفر لي ولوالدي وللمؤمنين يوم يقوم الحساب, باللغة السواحيلية

﴿ربنا اغفر لي ولوالدي وللمؤمنين يوم يقوم الحساب﴾ [إبراهِيم: 41]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
«Ewe Mola wetu! Nisamehe iwapo yametukia kutoka kwangu mambo ambayo binadamu hawasalimiki nayo, na uwasamehe wazazi wangu wawili (Hapa ni kambla haijamfunukia kwamba baba yake ni adui wa Mwenyezi Mungu) na uwasamehe Waumini wote Siku ambayo watu watasimama kuhesabiwa na kulipwa..»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek