Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 12 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿كَذَٰلِكَ نَسۡلُكُهُۥ فِي قُلُوبِ ٱلۡمُجۡرِمِينَ ﴾
[الحِجر: 12]
﴿كذلك نسلكه في قلوب المجرمين﴾ [الحِجر: 12]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kama tulivyoutia ukafiri kwenye nyoyo za ummah waliotangulia kwa sababu ya kuwafanyia shere Mitume na kuwakanusha, hivyo ndivyo tunavyofanya kwenye nyoyo za washirikina miongoni mwa watu wako waliofanya uhalifu wa kumkanusha Mwenyezi Mungu na kuwakanusha Mitume Wake |