Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 74 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿فَجَعَلۡنَا عَٰلِيَهَا سَافِلَهَا وَأَمۡطَرۡنَا عَلَيۡهِمۡ حِجَارَةٗ مِّن سِجِّيلٍ ﴾
[الحِجر: 74]
﴿فجعلنا عاليها سافلها وأمطرنا عليهم حجارة من سجيل﴾ [الحِجر: 74]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hapo tulivipindua vijiji vyao tukavifanya juu yake kuwa chini yake, na tukawanyeshea mawe ya udongo uliokauka ulio mgumu |