Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 96 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿ٱلَّذِينَ يَجۡعَلُونَ مَعَ ٱللَّهِ إِلَٰهًا ءَاخَرَۚ فَسَوۡفَ يَعۡلَمُونَ ﴾
[الحِجر: 96]
﴿الذين يجعلون مع الله إلها آخر فسوف يعلمون﴾ [الحِجر: 96]
Abdullah Muhammad Abu Bakr ambao wameifanya mizimu na vinginevyo kuwa ni washirika wa Mwenyezi Mungu. Basi watakuja kuujua mwisho wa vitendo vyao, hapa duniani na kesho Akhera |