Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 97 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿وَلَقَدۡ نَعۡلَمُ أَنَّكَ يَضِيقُ صَدۡرُكَ بِمَا يَقُولُونَ ﴾
[الحِجر: 97]
﴿ولقد نعلم أنك يضيق صدرك بما يقولون﴾ [الحِجر: 97]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwa kweli, tunaujua unyongekaji wa kifua chako, ewe Mtume, kwa yale wayasemayo washirikina kuhusu wewe na kuhusu ulinganizi wako |