Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 98 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿فَسَبِّحۡ بِحَمۡدِ رَبِّكَ وَكُن مِّنَ ٱلسَّٰجِدِينَ ﴾
[الحِجر: 98]
﴿فسبح بحمد ربك وكن من الساجدين﴾ [الحِجر: 98]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kimbilia kwa Mola wako pindi unaponyongeka moyo wako, na uitakase dhati Yake kwa kumshukuru na kumsifu. Na uwe ni miongoni mwa wenye kuswali kwa ajili ya Mwenyezi Mungu na wenye kumuabudu, kwani kwa kweli hilo litakutosheleza na lile lenye kukutia kero |