Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 10 - النَّحل - Page - Juz 14
﴿هُوَ ٱلَّذِيٓ أَنزَلَ مِنَ ٱلسَّمَآءِ مَآءٗۖ لَّكُم مِّنۡهُ شَرَابٞ وَمِنۡهُ شَجَرٞ فِيهِ تُسِيمُونَ ﴾
[النَّحل: 10]
﴿هو الذي أنـزل من السماء ماء لكم منه شراب ومنه شجر فيه﴾ [النَّحل: 10]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Yeye Ndiye Aliyewateremshia mvua kutoka juu na Akawapatia nyinyi kwa hiyo mvua maji mnayokunywa na akawatolea kwa maji hayo miti ya nyinyi kuwalisha wanyama wenu, na yanarudi kwenu matumizi yake na manufaa yake |