×

Na ni juu ya Mwenyezi Mungu kuelekeza Njia. Na zipo njia za 16:9 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nahl ⮕ (16:9) ayat 9 in Swahili

16:9 Surah An-Nahl ayat 9 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 9 - النَّحل - Page - Juz 14

﴿وَعَلَى ٱللَّهِ قَصۡدُ ٱلسَّبِيلِ وَمِنۡهَا جَآئِرٞۚ وَلَوۡ شَآءَ لَهَدَىٰكُمۡ أَجۡمَعِينَ ﴾
[النَّحل: 9]

Na ni juu ya Mwenyezi Mungu kuelekeza Njia. Na zipo njia za upotovu. Na angeli penda angeli kuongoeni nyote

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وعلى الله قصد السبيل ومنها جائر ولو شاء لهداكم أجمعين, باللغة السواحيلية

﴿وعلى الله قصد السبيل ومنها جائر ولو شاء لهداكم أجمعين﴾ [النَّحل: 9]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na ni juu ya Mwenyezi Mungu kuwaeleza njia iliolingana sawa ya kuwaongoa nyinyi, nayo ni Uislamu. Na miongoni mwa njia kuna iliyoenda kombo isiyofikisha kwenye uongofu, nayo ni kila njia iliyo kinyume na Uislamu miongoni mwa mila na itikadi. Na lau Angalitaka Mwenyezi Mungu kuwaongoza, basi Angaliwaongoza nyote kwenye Imani
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek