×

Kwa hayo Yeye anaizalisha kwa ajili yenu mimea, na mizaituni, na mitende, 16:11 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nahl ⮕ (16:11) ayat 11 in Swahili

16:11 Surah An-Nahl ayat 11 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 11 - النَّحل - Page - Juz 14

﴿يُنۢبِتُ لَكُم بِهِ ٱلزَّرۡعَ وَٱلزَّيۡتُونَ وَٱلنَّخِيلَ وَٱلۡأَعۡنَٰبَ وَمِن كُلِّ ٱلثَّمَرَٰتِۚ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَأٓيَةٗ لِّقَوۡمٖ يَتَفَكَّرُونَ ﴾
[النَّحل: 11]

Kwa hayo Yeye anaizalisha kwa ajili yenu mimea, na mizaituni, na mitende, na mizabibu, na kila namna ya matunda. Hakika katika haya zipo ishara kwa watu wanao fikiri

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ينبت لكم به الزرع والزيتون والنخيل والأعناب ومن كل الثمرات إن في, باللغة السواحيلية

﴿ينبت لكم به الزرع والزيتون والنخيل والأعناب ومن كل الثمرات إن في﴾ [النَّحل: 11]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Anawatolea nyinyi kutoka kwenye ardhi, kwa maji haya mamoja, mazao mbalimbali: Anawatolea nyinyi kwayo mizaituni, mitende na mizabibu, na anawatolea nyinyi kwayo kila aina ya matunda, makubwa kwa madogo. Hakika katika hayo pana ushahidi waziwazi kwa watu wanaofikiri na wakazingatia
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek