Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 17 - النَّحل - Page - Juz 14
﴿أَفَمَن يَخۡلُقُ كَمَن لَّا يَخۡلُقُۚ أَفَلَا تَذَكَّرُونَ ﴾
[النَّحل: 17]
﴿أفمن يخلق كمن لا يخلق أفلا تذكرون﴾ [النَّحل: 17]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi mnamfanya Mwenyezi Mungu Ambaye Anaviumba vitu hivyi na vinginevyo, katika kustahiki Kwake kuabudiwa Peke Yake, ni kama waungu wanaodaiwa ambao hawaumbi chochote? Basi hamukumbuki utukufu wa Mwenyezi Mungu mkamuabudu Yeye Peke Yake |