Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 16 - النَّحل - Page - Juz 14
﴿وَعَلَٰمَٰتٖۚ وَبِٱلنَّجۡمِ هُمۡ يَهۡتَدُونَ ﴾
[النَّحل: 16]
﴿وعلامات وبالنجم هم يهتدون﴾ [النَّحل: 16]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwenye hiyo ardhi Ameweka alama ambazo kwa alama hizo mnajielekeza njia kipindi cha mchana, kama alivyoziweka nyota ili kujiongoza kwa nyota hizo kipindi cha usiku |