×

Hapana shaka kuwa hakika Mwenyezi Mungu anayajua wanayo yaficha na wanayo yatangaza. 16:23 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nahl ⮕ (16:23) ayat 23 in Swahili

16:23 Surah An-Nahl ayat 23 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 23 - النَّحل - Page - Juz 14

﴿لَا جَرَمَ أَنَّ ٱللَّهَ يَعۡلَمُ مَا يُسِرُّونَ وَمَا يُعۡلِنُونَۚ إِنَّهُۥ لَا يُحِبُّ ٱلۡمُسۡتَكۡبِرِينَ ﴾
[النَّحل: 23]

Hapana shaka kuwa hakika Mwenyezi Mungu anayajua wanayo yaficha na wanayo yatangaza. Kwa hakika Yeye hawapendi wanao jivuna

❮ Previous Next ❯

ترجمة: لا جرم أن الله يعلم ما يسرون وما يعلنون إنه لا يحب, باللغة السواحيلية

﴿لا جرم أن الله يعلم ما يسرون وما يعلنون إنه لا يحب﴾ [النَّحل: 23]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Ni kweli kwamba Mwenyezi Mungu Anayajua wanayoyaficha ya itikadi, maneno na vitendo, na wanayoyaonyesha waziwazi katika hayo, na Atawalipa kwa hayo. Kwa kweli Yeye, Aliyeshinda na kutukuka, Hawapendi wanaofanya ujeuri wa kukataa kumuabudu na kumtii, na Atawalipa kwa hilo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek