Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 3 - النَّحل - Page - Juz 14
﴿خَلَقَ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضَ بِٱلۡحَقِّۚ تَعَٰلَىٰ عَمَّا يُشۡرِكُونَ ﴾
[النَّحل: 3]
﴿خلق السموات والأرض بالحق تعالى عما يشركون﴾ [النَّحل: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ameziumba mbingu na ardhi kwa haki, ili waja kwa hizo wachukue ushahidi juu ya utukufu wa Muumba wa hizo na kwamba, Yeye Peke Yake, Ndiye Anayestahiki kuabudiwa, Ameepukana, kutakata na sifa za upungufu ni Kwake, na Ametukuka na ushirikina wao |