×

Vinamkhofu Mola wao Mlezi aliye juu yao, na vinafanya vinavyo amrishwa 16:50 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nahl ⮕ (16:50) ayat 50 in Swahili

16:50 Surah An-Nahl ayat 50 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 50 - النَّحل - Page - Juz 14

﴿يَخَافُونَ رَبَّهُم مِّن فَوۡقِهِمۡ وَيَفۡعَلُونَ مَا يُؤۡمَرُونَ۩ ﴾
[النَّحل: 50]

Vinamkhofu Mola wao Mlezi aliye juu yao, na vinafanya vinavyo amrishwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: يخافون ربهم من فوقهم ويفعلون ما يؤمرون, باللغة السواحيلية

﴿يخافون ربهم من فوقهم ويفعلون ما يؤمرون﴾ [النَّحل: 50]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hao Malaika wanamuogopa Mola wao Ambaye Yuko juu yao kwa dhati Yake, utendeshaji nguvu Wake na ukamilifu wa sifa Zake, na wanafanya wanayoamrishwa ya kumtii Mwenyezi Mungu. Katika aya hii pana kuthibitisha sifa ya kuwa Mwenyezi Mungu Yuko juu ya viumbe vyake vyote, kama inavyonasibiana na utukufu Wake na ukamilifu Wake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek