×

Na Mwenyezi Mungu amesema: Msiwe na miungu wawili! Hakika Yeye ni Mungu 16:51 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nahl ⮕ (16:51) ayat 51 in Swahili

16:51 Surah An-Nahl ayat 51 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 51 - النَّحل - Page - Juz 14

﴿۞ وَقَالَ ٱللَّهُ لَا تَتَّخِذُوٓاْ إِلَٰهَيۡنِ ٱثۡنَيۡنِۖ إِنَّمَا هُوَ إِلَٰهٞ وَٰحِدٞ فَإِيَّٰيَ فَٱرۡهَبُونِ ﴾
[النَّحل: 51]

Na Mwenyezi Mungu amesema: Msiwe na miungu wawili! Hakika Yeye ni Mungu Mmoja. Basi niogopeni Mimi tu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وقال الله لا تتخذوا إلهين اثنين إنما هو إله واحد فإياي فارهبون, باللغة السواحيلية

﴿وقال الله لا تتخذوا إلهين اثنين إنما هو إله واحد فإياي فارهبون﴾ [النَّحل: 51]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na Alisema Mwenyezi Mungu kuwaambia waja Wake, «Msiabudu waungu wawili, kwani muabudiwa wenu ni Mola Mmoja. Basi niogopeni mimi na sio mwingine asiyekuwa mimi.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek