Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 68 - النَّحل - Page - Juz 14
﴿وَأَوۡحَىٰ رَبُّكَ إِلَى ٱلنَّحۡلِ أَنِ ٱتَّخِذِي مِنَ ٱلۡجِبَالِ بُيُوتٗا وَمِنَ ٱلشَّجَرِ وَمِمَّا يَعۡرِشُونَ ﴾
[النَّحل: 68]
﴿وأوحى ربك إلى النحل أن اتخذي من الجبال بيوتا ومن الشجر ومما﴾ [النَّحل: 68]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Mola wako, ewe Mtume, Aliwapa nyuki ufunzi kwamba jifanyieni nyumba kwenye majabali, kwenye miti na kwenye nyumba na sakafu zinazojengwa na watu |