Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 73 - النَّحل - Page - Juz 14
﴿وَيَعۡبُدُونَ مِن دُونِ ٱللَّهِ مَا لَا يَمۡلِكُ لَهُمۡ رِزۡقٗا مِّنَ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِ شَيۡـٔٗا وَلَا يَسۡتَطِيعُونَ ﴾
[النَّحل: 73]
﴿ويعبدون من دون الله ما لا يملك لهم رزقا من السموات والأرض﴾ [النَّحل: 73]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na washirikina wanaabudu masanamu ambayo hayana mamlaka ya kuwapa riziki itokayo mbinguni kama mvua wala itokayo ardhini kama mazao. Wao hawamiliki kitu chochote wala hapana uezekano wowote kwa wao kukimiliki, kwani wao hawawezi |