Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 74 - النَّحل - Page - Juz 14
﴿فَلَا تَضۡرِبُواْ لِلَّهِ ٱلۡأَمۡثَالَۚ إِنَّ ٱللَّهَ يَعۡلَمُ وَأَنتُمۡ لَا تَعۡلَمُونَ ﴾
[النَّحل: 74]
﴿فلا تضربوا لله الأمثال إن الله يعلم وأنتم لا تعلمون﴾ [النَّحل: 74]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na mjuapo kwamba masanamu na mizimu havinufaishi, basi msimfanye Mwenyezi Mungu Ana ambao ni kama Yeye wenye kufanana na Yeye miongoni mwa viumbe Wake mkawa mnawashirikisha wao pamoja na Yeye katika ibada. Hakika Mwenyezi Mungu Anayajua mnayoyafanya, na nyinyi mumeghafilika hamjui makosa yenu na ubaya wa mwisho wenu |