Quran with Swahili translation - Surah Al-Isra’ ayat 27 - الإسرَاء - Page - Juz 15
﴿إِنَّ ٱلۡمُبَذِّرِينَ كَانُوٓاْ إِخۡوَٰنَ ٱلشَّيَٰطِينِۖ وَكَانَ ٱلشَّيۡطَٰنُ لِرَبِّهِۦ كَفُورٗا ﴾
[الإسرَاء: 27]
﴿إن المبذرين كانوا إخوان الشياطين وكان الشيطان لربه كفورا﴾ [الإسرَاء: 27]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika wale wenye kupita kiasi katika matumizi na wenye kutoa mali yao katika kumuasi Mwenyezi Mungu wanafanana na Mashetani kwenye uovu, uharibifu na maasia, na Shetani ni mwingi wa kukufuru, ni mkanushaji sana neema za Mola wake |