×

Siku atakapo kuiteni, na nyinyi mkamuitikia kwa kumshukuru, na mkadhani kuwa hamkukaa 17:52 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Isra’ ⮕ (17:52) ayat 52 in Swahili

17:52 Surah Al-Isra’ ayat 52 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Isra’ ayat 52 - الإسرَاء - Page - Juz 15

﴿يَوۡمَ يَدۡعُوكُمۡ فَتَسۡتَجِيبُونَ بِحَمۡدِهِۦ وَتَظُنُّونَ إِن لَّبِثۡتُمۡ إِلَّا قَلِيلٗا ﴾
[الإسرَاء: 52]

Siku atakapo kuiteni, na nyinyi mkamuitikia kwa kumshukuru, na mkadhani kuwa hamkukaa ila muda mdogo tu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: يوم يدعوكم فتستجيبون بحمده وتظنون إن لبثتم إلا قليلا, باللغة السواحيلية

﴿يوم يدعوكم فتستجيبون بحمده وتظنون إن لبثتم إلا قليلا﴾ [الإسرَاء: 52]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Siku Atakapowaita Muumba wenu mtoke kwenye makaburi yenu na mkaitika amri ya Mwenyezi Munguna na mkaiyandama, na shukrani ni Zake kwa kila namna, na mkadhani, kwa kituko cha Siku ya Kiyama na kwa kipindi kirefu cha kukaa kwenu Akhera, kwamba nyinyi hamkukaa duniani isipokuwa muda mchache
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek