×

Na wanakuuliza khabari za Roho. Sema: Roho ni katika mambo ya Mola 17:85 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Isra’ ⮕ (17:85) ayat 85 in Swahili

17:85 Surah Al-Isra’ ayat 85 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Isra’ ayat 85 - الإسرَاء - Page - Juz 15

﴿وَيَسۡـَٔلُونَكَ عَنِ ٱلرُّوحِۖ قُلِ ٱلرُّوحُ مِنۡ أَمۡرِ رَبِّي وَمَآ أُوتِيتُم مِّنَ ٱلۡعِلۡمِ إِلَّا قَلِيلٗا ﴾
[الإسرَاء: 85]

Na wanakuuliza khabari za Roho. Sema: Roho ni katika mambo ya Mola wangu Mlezi. Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo tu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ويسألونك عن الروح قل الروح من أمر ربي وما أوتيتم من العلم, باللغة السواحيلية

﴿ويسألونك عن الروح قل الروح من أمر ربي وما أوتيتم من العلم﴾ [الإسرَاء: 85]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na makafiri wanakuuliza juu ya uhakika wa roho kwa njia ya ushindani, basi wajibu kwamba uhakika wa roho na hali zake ni katika mambo ambayo Mwenyezi Mungu Ameufanya ujuzi wake uweko Kwake. Na hamukupewa ujuzi, nyinyi na watu wote, isipokuwa kitu kichache
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek