Quran with Swahili translation - Surah Al-Isra’ ayat 89 - الإسرَاء - Page - Juz 15
﴿وَلَقَدۡ صَرَّفۡنَا لِلنَّاسِ فِي هَٰذَا ٱلۡقُرۡءَانِ مِن كُلِّ مَثَلٖ فَأَبَىٰٓ أَكۡثَرُ ٱلنَّاسِ إِلَّا كُفُورٗا ﴾
[الإسرَاء: 89]
﴿ولقد صرفنا للناس في هذا القرآن من كل مثل فأبى أكثر الناس﴾ [الإسرَاء: 89]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na tumewafafanulia watu katika hii Qur’ani kila aina ya mfano unaopasa kuzingatiwa, kwa njia ya kuwasimamishia hoja, ili waifuate na waitumie, lakini wengi wa watu walikataa isipokuwa ni kuipinga haki na kuzikanusha hoja za Mwenyezi Mungu na dalili Zake |