Quran with Swahili translation - Surah Al-Kahf ayat 73 - الكَهف - Page - Juz 15
﴿قَالَ لَا تُؤَاخِذۡنِي بِمَا نَسِيتُ وَلَا تُرۡهِقۡنِي مِنۡ أَمۡرِي عُسۡرٗا ﴾
[الكَهف: 73]
﴿قال لا تؤاخذني بما نسيت ولا ترهقني من أمري عسرا﴾ [الكَهف: 73]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mūsā akasema akitoa udhuru, «usinichukulie kwa kusahau sharti yako juu yangu wala usinikalifishe mashaka ya kujifunza kwako, na amiliana na mimi kwa usahali na upole.» |