Quran with Swahili translation - Surah Al-Kahf ayat 90 - الكَهف - Page - Juz 16
﴿حَتَّىٰٓ إِذَا بَلَغَ مَطۡلِعَ ٱلشَّمۡسِ وَجَدَهَا تَطۡلُعُ عَلَىٰ قَوۡمٖ لَّمۡ نَجۡعَل لَّهُم مِّن دُونِهَا سِتۡرٗا ﴾
[الكَهف: 90]
﴿حتى إذا بلغ مطلع الشمس وجدها تطلع على قوم لم نجعل لهم﴾ [الكَهف: 90]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mpaka alipofika upande wa kutoka jua alilikuta hilo jua linawatokea watu wasiokuwa na mjengo ya kuwasitiri wala miti ya kuwapatia kivuli cha kuwakinga na jua |