×

Basi kula, na kunywa, na litue jicho lako. Na pindi ukimwona mtu 19:26 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Maryam ⮕ (19:26) ayat 26 in Swahili

19:26 Surah Maryam ayat 26 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 26 - مَريَم - Page - Juz 16

﴿فَكُلِي وَٱشۡرَبِي وَقَرِّي عَيۡنٗاۖ فَإِمَّا تَرَيِنَّ مِنَ ٱلۡبَشَرِ أَحَدٗا فَقُولِيٓ إِنِّي نَذَرۡتُ لِلرَّحۡمَٰنِ صَوۡمٗا فَلَنۡ أُكَلِّمَ ٱلۡيَوۡمَ إِنسِيّٗا ﴾
[مَريَم: 26]

Basi kula, na kunywa, na litue jicho lako. Na pindi ukimwona mtu yeyote basi sema: Hakika mimi nimeweka nadhiri kwa Mwenyezi Mungu ya kufunga; kwa hivyo leo sitasema na mtu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فكلي واشربي وقري عينا فإما ترين من البشر أحدا فقولي إني نذرت, باللغة السواحيلية

﴿فكلي واشربي وقري عينا فإما ترين من البشر أحدا فقولي إني نذرت﴾ [مَريَم: 26]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
«Basi zile hizo tende mbivu na unywe maji na ujifurahishe kwa huyo mtoto mwenye kuzaliwa. Na umuonapo yoyote miongoni mwa watu, akakuuliza juu ya jambo lako, mwambie, ‘Mimi nimejilazimisha nafsi yangu kwa Mwenyezi Mungu ninyamaze, sitatasema na mtu leo.’» Kunyamaza kimya kulikuwa ni ibada katika Sheria yao, na haikuwa hivyo katika Sheria ya Mtume Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek