Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 27 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿فَأَتَتۡ بِهِۦ قَوۡمَهَا تَحۡمِلُهُۥۖ قَالُواْ يَٰمَرۡيَمُ لَقَدۡ جِئۡتِ شَيۡـٔٗا فَرِيّٗا ﴾
[مَريَم: 27]
﴿فأتت به قومها تحمله قالوا يامريم لقد جئت شيئا فريا﴾ [مَريَم: 27]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hapo Maryam aliwajia watu wake, na yeye amembeba mtoto wake, akitokea mahali mbali. Walipomuona namna hiyo, walisema kumwambia, «Ewe Maryam! Umeleta jambo kubwa ulilolizua |