×

Basi alipo jitenga nao na yale waliyo kuwa wakiyaabudu badala ya Mwenyezi 19:49 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Maryam ⮕ (19:49) ayat 49 in Swahili

19:49 Surah Maryam ayat 49 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 49 - مَريَم - Page - Juz 16

﴿فَلَمَّا ٱعۡتَزَلَهُمۡ وَمَا يَعۡبُدُونَ مِن دُونِ ٱللَّهِ وَهَبۡنَا لَهُۥٓ إِسۡحَٰقَ وَيَعۡقُوبَۖ وَكُلّٗا جَعَلۡنَا نَبِيّٗا ﴾
[مَريَم: 49]

Basi alipo jitenga nao na yale waliyo kuwa wakiyaabudu badala ya Mwenyezi Mungu, tulimpa Is-haq na Yaaqub, na kila mmoja tukamfanya Nabii

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فلما اعتزلهم وما يعبدون من دون الله وهبنا له إسحاق ويعقوب وكلا, باللغة السواحيلية

﴿فلما اعتزلهم وما يعبدون من دون الله وهبنا له إسحاق ويعقوب وكلا﴾ [مَريَم: 49]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na alipowaepuka wao na waungu wao wanaowaabudu badala ya Mwenyezi Mungu, tulimruzuku, miongoni mwa watoto tuliomruzuku, Ish,āq na Ya'ūb mwana wa Ish,āq na tukawafanya wawaili hao kuwa Manabii
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek