×

Na hakika mimi nawakhofia jamaa zangu baada yangu. Na mke wangu ni 19:5 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Maryam ⮕ (19:5) ayat 5 in Swahili

19:5 Surah Maryam ayat 5 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 5 - مَريَم - Page - Juz 16

﴿وَإِنِّي خِفۡتُ ٱلۡمَوَٰلِيَ مِن وَرَآءِي وَكَانَتِ ٱمۡرَأَتِي عَاقِرٗا فَهَبۡ لِي مِن لَّدُنكَ وَلِيّٗا ﴾
[مَريَم: 5]

Na hakika mimi nawakhofia jamaa zangu baada yangu. Na mke wangu ni tasa. Basi nipe mrithi kutoka kwako

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وإني خفت الموالي من ورائي وكانت امرأتي عاقرا فهب لي من لدنك, باللغة السواحيلية

﴿وإني خفت الموالي من ورائي وكانت امرأتي عاقرا فهب لي من لدنك﴾ [مَريَم: 5]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
«Na mimi ninaogopa kwamba jamaa zangu wa karibu na wenye kusimama na mimi wasije, baada ya kufa kwangu, wakaacha kuisimamia Dini yako vile inavyotakikana isimamiwe na wakaacha kuwalingania waja wako kuwaleta kwako, na mke wangu ni tasa hazai, basi nitunukie kutoka kwako mtoto awe ni mrithi na msaidizi
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek